KIUNGOMCHEZESHAJI
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 120
- 255
Habarini wandugu.
Kuna tabia inazidi kushika kasi katika jamii zetu na usipokuwa mwangalifu utajikuta unaumizwa kila kukicha. Ingawa imeshamiri sana kwenye mahusiano ya kimapenzi (wengine huita kuwekana friend zone), lakini iko sana hata kwenye mahusiano ya kijamii tuu, kwa ndugu, jamaa na marafiki, class mates, work mates, home mates etc.
Kwenye mahusiano ndio ipo common sana. Unamtokea mtu anakuzungusha weeeee, anakuweka friend zone akijua kuna siku atakuhitaji, so hataki akupoteze na pia hataki akupe moyo wake. Mimi huu ujinga nilishaacha muda sana, akina dada mnaojifanya wajanja, hebu tafuteni kwingine, hapa utapata shida sana. Kuna mmoja kanisumbua sana, mpaka nikadelete namba zake ila yeye kila kukicha hataki kupoteza mawasiliano.
Majuzi kapata safari ya kuja jijini. Ameanza ghafla kuonyesha mahaba kama yote mpaka nikashtuka haya mapenzi yamekuja na upepo wa kisulisuli? Nikamchora kidogo akaanza kufunguka nitafute lodge nzuri, nikamwambia tuma hela nikufanyie booking akagoma. anataka nitumie zangu na ananiambia atakaa siku 4 Japo ananidanganya kuwa amekuja kwa ajili yangu ukweli ni kwamba anakuja kufungasha mzigo wa biashara zake. Sijawa mjinga kiasi hicho, nikulishe nikulaze kwa siku nne hata ukinipa papuchi gegedo kilalalie humo, nimekataa kuwa tairi spea. Pambaneni na hali zenu.
Wale ambao wanaangukia kundi la pili (ndugu, jamaa, marafiki, home mate,class mates, work mates etc.). Kuna watu wa hovyo sana sijawahi kuona, ukiona amekutafuta inabidi ujiulize kulikoni? Lazima kuna jambo anataka kwako. Ila akimaliza jaribu kumtafuta wewe ukiwa na lako jambo utajuta kumfahamu. Hana time na wewe, yuko bize sms hata umcheki kwa sms, whatsaap etc. hajibu. anaweza kukujibu baada ya siku mbili.
Mimi nimeshajitoa ufahamu, sina muda na nyie, endeleeni na maisha yenu na mimi napambana na hali yangu.