Unanikonga moyo: Stumai George wa Star TV

Prince Hope

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
2,155
Reaction score
445
Binafsi navutiwa sana na huyu mtangazaji wa Star TV.

Baadhi ya vitu vinavyonisukuma niseme haya ni sauti hasa flow yake pia kuwa mkweli...... macho yake.

Kama atasoma uzi huu, tafadhali nijulishe siku ambazo unakuwa hewani kwenye

kipindi cha Tuongee asubuhi! Huwa naburudika sana unapokuwa ukiendesha kipindi.
 
This is a wastage of time and space. We should not abuse JF. Hili jukwaa lina heshima yake. Habari nyingi kabla ya kutoka magazetini huanzia hapa. Ni vyema tukaheshimu hili jukwaa. Huu ni ushauri wangu. Hutaki, unaacha.

Mh! Nimekosea kwenye bookmark, badala ya ku-klick jamii forum nika klick facebook! Hebu nianze upya.
 
mm ananifurahisha anavyo jistiri ktk kuvaa kwake Allah amuongoze asiache
 
mi yale macho2,malegevuuuu!je ukiwa nae faragha!...
 
This is a wastage of time and space. We should not abuse JF. Hili jukwaa lina heshima yake. Habari nyingi kabla ya kutoka magazetini huanzia hapa. Ni vyema tukaheshimu hili jukwaa. Huu ni ushauri wangu. Hutaki, unaacha.

What's wrong with this thread! The girl is perfect in her career and I am proud of her! Nothing else! Talking about her facial appearance doesnt mean I had rubbish thoughts as you might have thought! Learn to appreciate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…