Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuu yeye mwenyewe kashindwa kuzihifadhi kakuelezea wewe na wewe kwa nini uzifiche ?Unanipa siri zako halafu unaniambia nisimwambie mtu,kama kutunza siri rahisi kwanini usikae nazo mwenyewe?
hizo ni lawama za bure kabisa!
hahaa ", yeye mwenyewe kutunza siri ameshindwa", halafu anakusisitizia wewe umtunzie''!!!! ubinaadamu kweli shidaUnanipa siri zako halafu unaniambia nisimwambie mtu,kama kutunza siri rahisi kwanini usikae nazo mwenyewe?
hizo ni lawama za bure kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna msela wangu mmoja huyo yeye ukimhadisia lolote haifiki saa limoja kishamwambia kila mtu. Hivi sasa nikikaa nae simhadisii kitu
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Asikusumbue mkuu wewe toa tu hapa hamna shidaUnanipa siri zako halafu unaniambia nisimwambie mtu,kama kutunza siri rahisi kwanini usikae nazo mwenyewe?
hizo ni lawama za bure kabisa!
[emoji23][emoji23]huyo kibokoKuna msela wangu mmoja huyo yeye ukimhadisia lolote haifiki saa limoja kishamwambia kila mtu. Hivi sasa nikikaa nae simhadisii kitu
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Blood sister wng nae yupo hivo!Kuna msela wangu mmoja huyo yeye ukimhadisia lolote haifiki saa limoja kishamwambia kila mtu. Hivi sasa nikikaa nae simhadisii kitu
Ndukiiiii [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Duh sawa na huyu kilaza anasema hivyo hivyo nimemtenga siku hizi kwa kuogea sana.Blood sister wng nae yupo hivo!
Cha ajabu anawasema wenzie "wambea" kwamba hawatunzi SIRI!
Ahahhaa huwaga hawajioni kabisaBlood sister wng nae yupo hivo!
Cha ajabu anawasema wenzie "wambea" kwamba hawatunzi SIRI!