Unanitega..

SOKETI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Salut wana jf, katika maisha ya kila siku swala la kupenda na kupenda ni jambo la kawaida na ni mingmi mwa mahitaji muhimu ya mwanadamu. Katika kumpenda mtu au kitu naamini kabisa lazima kuwe na sababu. Katika swala la kuchagua na kutafuta mtu atakayekua mwenzi wako huwa unategeka/vutiwa na nini, sehemu gani ya mwili(iwe vipi), tabia, uweledi/urembo, urefu/ufupi, uongeaji/ukimya n.k TOA MAONI YAKO
 
pochi tu,mengine yatafuata.....:embarrassed1:
 
Mi napenda radha ya damu yake nikishamng'ata shingoni?
 

Duu, mkuu hapa huwezi kupata jibu la moja kwa moja. Kila mtu huvutiwa na aina fulani au muonekano fulani wa mtu. Mara nyingi uzuri wa mtu upo machoni pa anayemwangalia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…