Unanunuaje server ya blog or website?

Unanunuaje server ya blog or website?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Nina maswali kidogo!

Unawezaje kununua server ya kuhost blog zaidi ya mbili ambayo iko fast?

Je, ukishanunua unalipia kila mwezi au ukinunua imetoka hiyo?

Server ulipie domain ulipia je si gharama?

Mwenye utaalamu wa haya madude.
 
domain ni jina la website unalilipia kila mwezi..
hosting ni kutunzia mafile yako ya blog au website...nayo unalipia kila mwezi.
haununui server wew unanunua kisehemu unachoona kinaweza kutosha kuweka website au blog yako na watu wakatembelea

Nibgharama kiasi ila hakikisha unachofanya kweny website kinakulipa kiasi kwamba huoni hasara kununua Hosting na kulipia domain

domain 9 - 14 usd
Hosting inategemea na ukubwa wa nafasi unayotaka yaan gb pia na ukubwa wa watembeleaj katika website yako..

roughly ukiwa na 150,000 kwa mwaka mzima unaweza pata domain na hosting nzuri tu kwa ajili ya blog yako
 
Duuu safii
 
Unanunuaje hosting
 
Unanunuaje hosting
kuna kampuni nying za hosting kuna za nje ya nchi na za bongo pia...

hosting kampani ni nyingi sana kuna godady, hostinger, siteground, bluehost...

za nje ya nchi hizo hapo juu ni bora sana maana wanatoa ile security ya ssl bure..pia storage kubwa na trafic yaan idadi ya watembeleaji wengi...

za bongo zipo ila bei juu na zina gb ndogo pia ssl usikute haupewi...

in short wabongo wananunua kwa hao wa nje kisha wanauza space ndogondogo kwa wabongo wenzao...
 
Swali langu hapa ni je nikilipia domain na hosting kutoka makampuni ya nje ya nchi kuna gharama zozote za kulipia mfano kwa TCRA?au nakuwa nimemaliza
 
Back
Top Bottom