Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Duuu safiidomain ni jina la website unalilipia kila mwezi..
hosting ni kutunzia mafile yako ya blog au website...nayo unalipia kila mwezi.
haununui server wew unanunua kisehemu unachoona kinaweza kutosha kuweka website au blog yako na watu wakatembelea
Nibgharama kiasi ila hakikisha unachofanya kweny website kinakulipa kiasi kwamba huoni hasara kununua Hosting na kulipia domain
domain 9 - 14 usd
Hosting inategemea na ukubwa wa nafasi unayotaka yaan gb pia na ukubwa wa watembeleaj katika website yako..
roughly ukiwa na 150,000 kwa mwaka mzima unaweza pata domain na hosting nzuri tu kwa ajili ya blog yako
domain ni jina la website unalilipia kila mwezi..

kuna kampuni nying za hosting kuna za nje ya nchi na za bongo pia...Unanunuaje hosting
www.hostinger.comUnanunuaje hosting
www.hostinger.com
Ingia kwenye hio site, then ukishapitia pitia, Uje na uulize chochote nitakupa Muongozo. Ili na wengine wajifunze.
Hakikisha umepitia.
Swali langu hapa ni je nikilipia domain na hosting kutoka makampuni ya nje ya nchi kuna gharama zozote za kulipia mfano kwa TCRA?au nakuwa nimemalizakuna kampuni nying za hosting kuna za nje ya nchi na za bongo pia...
hosting kampani ni nyingi sana kuna godady, hostinger, siteground, bluehost...
za nje ya nchi hizo hapo juu ni bora sana maana wanatoa ile security ya ssl bure..pia storage kubwa na trafic yaan idadi ya watembeleaji wengi...
za bongo zipo ila bei juu na zina gb ndogo pia ssl usikute haupewi...
in short wabongo wananunua kwa hao wa nje kisha wanauza space ndogondogo kwa wabongo wenzao...
hakuna kingine unalipiaa mkuuSwali langu hapa ni je nikilipia domain na hosting kutoka makampuni ya nje ya nchi kuna gharama zozote za kulipia mfano kwa TCRA?au nakuwa nimemaliza