Unanyoa, Unapunguza au Kuacha na kwa nini?

b191

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
742
Reaction score
1,031
Nawasalimu wote,

Leo napenda kujua na kufanya kautafiki kidogo juu ya miili yetu.

Napenda kujua kama huwa UNANYOA, KUPUNGUZA au KUACHA ZILE NYWELE ZETU ZA SEHEMU ZA SIRI. Pia tufahamishane kwa nini Unanyoa, Kupunguza au Kuacha.

Nawasilisha..
 
samahani mkuu,mbona naona harufu ya ulozi hapa mkuu?
 
wanaume tunafanya usafi tukiwa na ugeni
 
Hua,nazchana. Tu kama
My love yuko mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…