Unaomba je mashine!!!

usisahau pia kumwomba Mungu akupe na nguvu dear maana zawadi yenyewe ni ile iliyobarikiwa ili atuwezeshe kupanda mbegu bora ktika shamba letu ili badae tule matunda na kufurahia kivuli chake,fanya kazi sasa maana bila kazi tutakuwa maskini na asie fanya kazi na asile,kazi njema na mchana mwema,jioni naomba niletee japo ppipi ili tule wote,na kupata radha nzuri kabla ya chakula kitam.
Aiseee. Hayo maneno matamu ya Pearl ndo yameenda kidato. Kwa maneno hayo hakyanani hata kama nina kazi ya deadline ya mwakani,ntaichapa iyo kazi ili niimalize leo leo kabla sijaenda kutana na babe anaetoa maneno matamu ka ya Pearl.
 

aafu wewe!
 
QUOTE=Pearl;usisahau pia kumwomba Mungu akupe na nguvu dear maana zawadi yenyewe ni ile iliyobarikiwa ili atuwezeshe kupanda mbegu bora ktika shamba letu ili badae tule matunda na kufurahia kivuli chake,fanya kazi sasa maana bila kazi tutakuwa maskini na asie fanya kazi na asile,kazi njema na mchana mwema,jioni naomba niletee japo ppipi ili tule wote,na kupata radha nzuri kabla ya chakula kitam.

Ok babe. Wacha nijenge taifa hapa. Then nikirudi kula kitamu ulichoniandalia,tutajenga taifa letu pia. See you soon babe.
 
sawa baba,kazi njema ukirudi kuwa mwangalifu ukipanda ile lifti ya pikipiki ya rafiki yako,Mungu atatusaidia tutapata japo kabajaji mwakani maana biashara yangu ya mchicha sasa inalipa sana,karibu nyumbani,pole na kazi babaQUOTE=Nyandaigobeko;1367999]QUOTE=Pearl;usisahau pia kumwomba Mungu akupe na nguvu dear maana zawadi yenyewe ni ile iliyobarikiwa ili atuwezeshe kupanda mbegu bora ktika shamba letu ili badae tule matunda na kufurahia kivuli chake,fanya kazi sasa maana bila kazi tutakuwa maskini na asie fanya kazi na asile,kazi njema na mchana mwema,jioni naomba niletee japo ppipi ili tule wote,na kupata radha nzuri kabla ya chakula kitam.

Ok babe. Wacha nijenge taifa hapa. Then nikirudi kula kitamu ulichoniandalia,tutajenga taifa letu pia. See you soon babe.[/QUOTE]
 
mpz leo nimekuandalia kitu kizuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,(Tamu yako)naomba usiwe na mawazo,kula vzr,usikasirike maana nataka kukutoa machovu na mawazo tele tafadhali naomba uwahi kurudi baba,nakupenda sana.

unaponiuzige mm hapo tu unapowekaga hadharani yale maneno matamu wakati wa majambozi next time niulize bana
 
[/QUOTE]

nitakupa burn ss hivi
 

mamamanka fanya haraka natakakuwai dukani
 
QUOTE=drphone;

nitakupa burn ss hivi.

Did you happen to mean BAN?
 
ah ah ah jaribu basi lol
nitakupa burn ss hivi[/QUOTE]
 
Bro yai moja limekimbia sehemu yake! Au ni baridi?
 


Mh jamani!!
 
mpz leo nimekuandalia kitu kizuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,(tamu yako)naomba usiwe na mawazo,kula vzr,usikasirike maana nataka kukutoa machovu na mawazo tele tafadhali naomba uwahi kurudi baba,nakupenda sana.



wizi mtupu
 
kuna ubaya gani mtu kumuibia mpz wake kwa maneno matamu,yakumrudisha nyumbani mapema?au ulitaka aibiwe na machangu?mwanamke ubunifu.

Pearl nimekukubali, kama unamwambia maneno haya Mr. basi atakuwa ni kati ya wanaume wenye furaha sana maishani-I wish na mimi ningeambiwa hivyo! badala ya umechelewa wapi? wee siku hizi una mwanamke! utaniuwa watoto wangali wadogo! aaahhh! Ili mradi maneno ya karaha mtindo mmoja.
 
my dear,mwanaume akishajua mkewe ni vuvuzela huzidisha vituko coz anajua atasema tu yataisha,nacho amini mwanaume kama kafanya kosa ndani ya nafsi yake lazima anajua ni kosa sema necha yao kuomba msamaa ni mara chache sana,smtimes its beta said if nothing is said at all,silence is the best weapon.
 

Una mdogo wako wa kike mnayefanana? Nahitaji kujua, nisingependa maswali zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…