Ujinga wa hizi mambo unajirekodi, dhumuni linapita, list ya upuuzi inaongezeka, hakuna anayejali kuhusu wewe sasa unapotaka kufuta post moja kama uliituma, unakuta kuna copy kama milioni mia ktk mtandao cjui utaanza kufuta ipi, zaidi ya kunyonga kitu na kiripua....anayempatia pantera hiyu maza ampunguzie dozi, ipo cku atatembea uchi.