Unaonaga aibu kununua kitu gani dukani ukikuta muuzaji jinsia tofauti na yako?

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Mimi nikikuta muuzaji ni ke au unamkuta mama flani hivi wa makamo Kama ya bimkubwa mood ya kununua vitu hivi inaisha..
Condom
Boxer
Pedi kwa ajiri ya mchumba
Chupi kwa ajiri ya mchumba
Dawa za gono
Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Energy
Rasta
Mafuta ya kupaka baby care

Je, wewe unaonaga aibu kununua vitu gani?
 
Yani hivyo vyote ulivotaja ukifika dukani ukamkuta muhudumu wa kike unamuuliza kwa confidence mfano mwambie nataka kondom au nataka pedi automatically yule mwanamke anapata hisia fulani kwako hata ukienda kuiomba kimasihara hakunaga mambo mengi.
 
Kuna mtu aliniomba nimnunulie ky gel kisa ye anaona aibu nilichofanya chap niliongeza buku 5 kwenye bei na chap nikaenda kumnunulia, changamoto kwenye duka la dawa hasa mdada akuhudumie anakucheki Kwa jicho flani hivi la kiuchunguzi mwisho anatikisa kichwa kwamba huyu mtu ni noma, Malaya, nk ila sijali
 
Wazee wa tunda kimasihara 😁
 
Mkuu sema kweri😁
 
Mimi nikikuta muuzaji ni ke au unamkuta mama flani hivi wa makamo Kama ya bimkubwa mood ya kununua vitu hivi inaisha..
Condom
Boxer
Pedi kwa ajiri ya mchumba
Chupi kwa ajiri ya mchumba
Dawa za gono
Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Energy
Rasta
Mafuta ya kupaka baby care

Je, wewe unaonaga aibu kununua vitu gani?
Nikikuta jinsia ke naonaga aibu kununua sabuni🤣

Depal
raraa reree
Extrovert
Demi
zube_guuz2017
 
Back
Top Bottom