Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
... unanunua hivyo vya kazi gani?Dawa za gono
Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Kwa matumizi na kujitibu mkuu... unanunua hivyo vya kazi gani?
... gono? Huna nguvu za kiume? Funny!Kwa matumizi na kujitibu mkuu
Ata mb,,, Sina kabisa ? Funny... gono? Huna nguvu za kiume? Funny!
Wazee wa tunda kimasihara 😁Yani hivyo vyote ulivotaja ukifika dukani ukamkuta muhudumu wa kike unamuuliza kwa confidence mfano mwambie nataka kondom au nataka pedi automatically yule mwanamke anapata hisia fulani kwako hata ukienda kuiomba kimasihara hakunaga mambo mengi.
Confidence mkuu znatofautianaUna ionea aibu pesa yako..binafsi najisikia raha nkienda kununua condom nka mkuta mwanamke ndo ana uza maana ata nichagulia mwenyewe
😂Viagra
Mkuu sema kweri😁Kuna mtu aliniomba nimnunulie ky gel kisa ye anaona aibu nilichofanya chap niliongeza buku 5 kwenye bei na chap nikaenda kumnunulia, changamoto kwenye duka la dawa hasa mdada akuhudumie anakucheki Kwa jicho flani hivi la kiuchunguzi mwisho anatikisa kichwa kwamba huyu mtu ni noma, Malaya, nk ila sijali
😂😂Naonaga aibu kukopa tu nkikuta mwanamke ila sio ivo vitu
Nikikuta jinsia ke naonaga aibu kununua sabuni🤣Mimi nikikuta muuzaji ni ke au unamkuta mama flani hivi wa makamo Kama ya bimkubwa mood ya kununua vitu hivi inaisha..
Condom
Boxer
Pedi kwa ajiri ya mchumba
Chupi kwa ajiri ya mchumba
Dawa za gono
Dawa za kuongeza nguvu za kiume
Energy
Rasta
Mafuta ya kupaka baby care
Je, wewe unaonaga aibu kununua vitu gani?