Unaonaje kama Valentine iwe siku ya mapumziko?

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Kutokana na kuwa na wafuasi wengi sana duniani na kwa uelewa tu mdogo yakwamba ufanisi unaanzia kwenye upendo sasa mnaonaje kama serikali zetu zitairasimisha siku ya wapendanao kuwa siku ya mapumziko ili kuwapa fursa wapendanao kuwa pamoja na kusherehekea pamoja?
Ni mawazo yangu tu na wewe waweza toa ya kwako.
Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…