Kuna wengine hununua T-shirt bila kuzisoma zimeandikwa nini, na pia kuna wengine kwa sababu ya shule labda, wanasoma ila hawaelewi maana ya hayo yaliyoandikwa. Nafikiri wanahitaji kuelekezwa maana ya maneno yaliyochapishwa kwenye hizo T-shirt kwa wale watu walio karibu nao kuliko kuwaacha wakidhalilika pasipo kujijua!