Unaongea lugha ngapi? (Binafsi Ninaongea Lugha saba(7)

Hivi wewe jamaa unaongea lugha ngapi?
.kingereza
polish
kirashia
kifaransa
slovak language hii wanaongea slovakia na jamhuri ya cheki baaadhi ya watu.

ukiongeza za kikabila ....

shuveeeee!!
lakini kwangu mimi lugha zote hizo so far its bullshit.
nilichofaidi zaid zaid ni kuwala watoto wao na ndio walionifundisha hizo lugha
 
dzień dobry.....
 

Hongera mkuu mimi najua Kichaga, Kiswahili na Kiingereza...!

Ukishaandika asilimia haina haja ya kuweka %.

Mfano:- Asilimia 90 = 90% ila siyo asilimia 90%.
 
Ipi ngumu hapo kati ya hizo?
 
Hahaha semeni tu asante kwa google translator
Jirani unamwona mtakatifu lakini....

Wakati mimi najua anajua kiswahili..kikwetu na kingereza sema anajin'gatan'gata sana
 
We mkimbizi
 
Mimi nazungumza zifuatazo;-

Kiswahili
Kingereza
Kikurya.
Kihaya
Kinyambo
Kijita
Kinyarwanda
Kiganda
Kisukuma
Kiha
Kirundi.
 
Hongera mkuu mimi najua Kichaga, Kiswahili na Kiingereza...!

Ukishaandika asilimia haina haja ya kuweka %.

Mfano:- Asilimia 90 = 90% ila siyo asilimia 90%.
Hongera mkuu , pia asante kwa kunisahihisha.
 
Mimi nazungumza zifuatazo;-

Kiswahili
Kingereza
Kikurya.
Kihaya
Kinyambo
Kijita
Kinyarwanda
Kiganda
Kisukuma
Kiha
Kirundi.
Duh hongera sana mkuu maana ni lugha nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…