Unapajua hapa?

Bluray

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2008
Posts
3,449
Reaction score
137
Katika thread hii unaweza kutuma picha, hususan za Tanzania, na kutaka kujua uelewa wa watu wa nchi yetu.

Je unapajua hapa? Wapi? (See attachment)

Attachments

  • unapajua.jpg
    11.2 KB · Views: 926
Mkuu kuna sehemu maalum kwa picha siku hizi hapa jf.
 
Katika thread hii unaweza kutuma picha, hususan za Tanzania, na kutaka kujua uelewa wa watu wa nchi yetu.

Je unapajua hapa? Wapi? (See attachment)

Tukupe Mji Mkuu?
 
hapa sio kanisa katoliki pale njombe kweli?
 
Maxi,
Hapo iwe isiwe ni MWANZA (Stone town). Hizo picha kama vile nimeshaziona kwenye GOOGLE EARTH.
 
Somewhere Mwanza hapo juu kwenye mawe ufukweni mwa Ziwa Victoria.
 
Mmechemsha, basi siongezi picha hapa mpaka vitendawili viwili juu viteguliwe
 
Mie picha yangu ya kwanza sijapata jibu bado.
 
Katika thread hii unaweza kutuma picha, hususan za Tanzania, na kutaka kujua uelewa wa watu wa nchi yetu.

Je unapajua hapa? Wapi? (See attachment)

Siyo kanisa katoliki Dodoma kweli? Imekuwa kitambo lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…