Unapajua hapa?

picha zimetulia wazee.at least tunatembelea nchi kwa picha
 
Na hapa je?
 

Attachments

  • icc.jpg
    14.2 KB · Views: 51
Hiyo picha yenye mawe, ni mwanza kapripoint, ukiwa hotel tilapia unatazamana na hizo nyumba
 
Na hapa ni wapi???
 

Attachments

  • IMG00004.jpg
    28.8 KB · Views: 51
Du nchi hii in maeneo mazuri wakuu...basi tu! Nimeipenda sana hiyo picha ya porini.....LCruiser inapita chini...katikati ya mti! I like that...!
 
Ni Capri point umepigia picha kutokea kwenye feri au MV victoria...ukitokea Bukoba au Sengerema
 
Na hapa wapi tena? au jengo gani?
 

Attachments

  • Image012.jpg
    94.7 KB · Views: 187
Na hapa wapi tena? au jengo gani?
Mkuu kama sikosei hapa ni kigali kanisa katoliki Kimironko umepiga picha kwa nyumba..this days wamejenga jingine...ndio hilo linalo onekana kwa pembeni hapo.
 
Mkuu kama sikosei hapa ni kigali kanisa katoliki Kimironko umepiga picha kwa nyumba..this days wamejenga jingine...ndio hilo linalo onekana kwa pembeni hapo.<!-- google_ad_section_end -->
Umekosa kabisa. Kwa kuwasaidia, jengo hili liko mojawapo ya mikoa ya Nyanda za juu Kusini.
 
Haya tena kwa wale wanaopenda kutembea mapolini hapa ni wapi?


hapa ni arusha national park....arumeru...moja ya mandhari adimu ndani ya mbuga hiyo..iliyopo njia ya kwenda ngurdoto hotel.....mbele zaidi kama kilomita 20 milimani.....
 
Hi Budz!
mimi ni alex nimefurahi kujiunga na ulimwengu wa jamii forum

regards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…