Yap, bado una kazi ya kupatambua ni ubalozi wetu nchi gani.... 😀 😀duh, mamamaaaaaaaaa, yani ubalozi wetu kweli umeshindwa kurekebisha hiyo signpost??, mi nilijua uozo uko ndani tu kumbe hata nje?, Loh.
Hapo ni Ndanda mkuu,nimepita hapo 2 weeks ago na kuna sausage size ya mkono wa boxer!!Katika thread hii unaweza kutuma picha, hususan za Tanzania, na kutaka kujua uelewa wa watu wa nchi yetu.
Je unapajua hapa? Wapi? (See attachment)
Corect, kanisa la Ndanda to be precise, Ndanda ipo Peramiho. Mkuu umekaa mitaa hiyo nini? Au some serious netizenship tu?
Very beautiful church, I like the architectural design, clearly old school.
hapa mwanza.Na hapa wapi?
Haya tena kwa wale wanaopenda kutembea mapolini hapa ni wapi?
Ni OmanHapo ni ubalozi wa TZ Iran