Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Viongozi wa CHADEMA waliitisha maandamano wakati walijua hawana uwezo wa kufanya maandamano siku zote kuongea ni rahisi sana kuliko kutekeleza.
Moja ya mbinu ya maandamano ni kuwa mafichoni ,huwezi kutangaza kuandamana alafu ukalala kwako.
Hivyo basi Lissu alijua hawezi kuandamana na alitengeneza mazingira asubuh akamatwe na polisi ili badae waseme polisi waliwakamata.
Kwa Dkt Slaa jana kajifanya anaumwa eti anaupasuaji kito ambacho ni mbinu ya kukimbia maandamano.
Hivyo basi CHADEMA hawezi kuandamana tena na hawana uwezo wa kuandamana.