Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Shemeji yenu kaniambia anapenda na familia inantegemea kwaiyo nmewatuma makamanda kwanza wawe mstar wambele mm ntakuja mambo ya kiwa mazurViongozi wa CHADEMA waliitisha maandamano wakati walijua hawana uwezo wa kufanya maandamano siku zote kuongea ni rahisi sana kuliko kutekeleza.
Moja ya mbinu ya maandamano ni kuwa mafichoni ,huwezi kutangaza kuandamana alafu ukalala kwako.
Hivyo basi Lissu alijua hawezi kuandamana na alitengeneza mazingira asubuh akamatwe na polisi ili badae waseme polisi waliwakamata.
Kwa Dkt Slaa jana kajifanya anaumwa eti anaupasuaji kito ambacho ni mbinu ya kukimbia maandamano.
Hivyo basi CHADEMA hawezi kuandamana tena na hawana uwezo wa kuandamana.
Kabisa siku zote wanaondama hawasemiAnataka akamatwe halafu warushe mapicha duniani Kote
Ni strategy
Maandamano yalikuwa enzi za CUF tuViongozi wa CHADEMA waliitisha maandamano wakati walijua hawana uwezo wa kufanya maandamano siku zote kuongea ni rahisi sana kuliko kutekeleza.
Moja ya mbinu ya maandamano ni kuwa mafichoni ,huwezi kutangaza kuandamana alafu ukalala kwako.
Hivyo basi Lissu alijua hawezi kuandamana na alitengeneza mazingira asubuh akamatwe na polisi ili badae waseme polisi waliwakamata.
Kwa Dkt Slaa jana kajifanya anaumwa eti anaupasuaji kito ambacho ni mbinu ya kukimbia maandamano.
Hivyo basi CHADEMA hawezi kuandamana tena na hawana uwezo wa kuandamana.
Unataka akalele kwa Mama yako?Viongozi wa CHADEMA waliitisha maandamano wakati walijua hawana uwezo wa kufanya maandamano siku zote kuongea ni rahisi sana kuliko kutekeleza.
Moja ya mbinu ya maandamano ni kuwa mafichoni ,huwezi kutangaza kuandamana alafu ukalala kwako.
Hivyo basi Lissu alijua hawezi kuandamana na alitengeneza mazingira asubuh akamatwe na polisi ili badae waseme polisi waliwakamata.
Kwa Dkt Slaa jana kajifanya anaumwa eti anaupasuaji kito ambacho ni mbinu ya kukimbia maandamano.
Hivyo basi CHADEMA hawezi kuandamana tena na hawana uwezo wa kuandamana.
Hata kama angejificha angetumiwa wito wa kwenda polisi kwa njia za ki mtandao.Viongozi wa CHADEMA waliitisha maandamano wakati walijua hawana uwezo wa kufanya maandamano siku zote kuongea ni rahisi sana kuliko kutekeleza.