Unapaswa kuwa makini na mawazo yako

Unapaswa kuwa makini na mawazo yako

Shayu

Platinum Member
Joined
May 24, 2011
Posts
608
Reaction score
1,655
Habari wanaJamiiForums,

Kuwa makini na mawazo yako, muelekeo wa maisha yako unategemea sana aina ya mawazo unayoyakaribisha kichwani mwako, tofauti kati ya mtu mwovu na mwema ni mawazo yao na haya mawazo ndio huzaa matendo yao.

Binadamu hufikiri na matunda ya fikra za binadamu huonekana katika matendo.
 
Back
Top Bottom