Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Siriiiiii, kuna kundi kubwa sana la watu hawajui madhara ya kuanika mambo yao ya msingi mbele za watu.
Yaani yeye akipata dili lolote hata kabla halijatiki tayari kashawatangazia watu zaidi ya kumi, ndugu zangu hivi mnajua kuwa kwenye hii dunia tuaishi kwa kuviziana sana?
Utasikia ooooh, mwenzako nimepata kazi nje ya nchi, mwezi ujao naanza kujenga nyumba yangu, mtoto wangu amepata scholarship ya kwenda kusoma ulaya mwaka ujao na mengineyo mengi.
Ndugu zangu kwenye hii dunia usije ukamwamini mtu yeyote abadani binadamu ni wabaya sana, fanya mambo yako kisirisiri washitukie tu jambo lako limeshawanikiwa.
Acha kabisa kutangaza mambo yako msingi mbele za watu ni hatari sana.