Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Kupitia hizi picha,kupitia huyo alieko kwenye picha..?
Usimdharau mtu kwa hali anayopitia.huijui kesho yake atakuwa nani(picha ya kwanza)
Nawe unaetafuta usikate tamaa,kesho yako inakusubiri.juhudi zako za Leo ndo mafanikio yako ya kesho.
Usikate tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app