Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Hongera mkuu..Inatukumbusha kuwa tabia za mtu haziji hivihivi kama kimbunga. Tabia hujijenga kutokana na asili, makuzi ,malezi na mazingira ya mtu.
Pole mkuu..bila wao kukukataa usingekua na ari ya kufika mbaliNakubaliana na wewe.
Mfano kuna dem mmoja hivii nilkua nampenda saaaaaaaana kuliko kawaida ila kimsingi nilipokuja kumueleza hili swala kaniona mi mjinga sana kumueleza mambo ya hivyo kisatu ni kwakua mi mkata nyasi, hali ngumu mfukoni sina hata dollar.
Daah! Nilijihisi maskini labda hatuna haki ya kupenda, ila bado naamini iposikutu/kesho yangu itakua njema kuliko alivyo nishushua nikajiona mjinga mbeleyake.
No common formula in life, everybody will be successful through different ways un- common in different times.
Long story [emoji19]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli, ila wakati mwingine yatupasa kukubaliana na hali katika swala la mahusiano tunapo kataliwa kisa mfukoni pakavu maana asiye kubari kushindwa sio mshindani,, ila kimsingi jitihada nazidi kuzitia ili nipate vitu viwili,
Amina.Mungu akusaidie kufikisha ndoto zakoNikweli, ila wakati mwingine yatupasa kukubaliana na hali katika swala la mahusiano tunapo kataliwa kisa mfukoni pakavu maana asiye kubari kushindwa sio mshindani,, ila kimsingi jitihada nazidi kuzitia ili nipate vitu viwili,
No1 nipate kumjua mungu
No2 nipate raslimali ikiwemo rasilimali watu na rasilimali mali.
"Wema hawajazaliwa, ila wazuri wamesha zaliwa, na nitawaoa iwapo nikipenda"
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu, kikubwa ni kupambana upatapo nafasi inayo lipa.
Hapo kwenye red pananifanya niamini kua,hata Baba yake Diamond ana mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya Diamond,kama ni kweli Baba Diamond alimkataa Diamond.
Hapo kwenye red pananifanya niamini kua,hata Baba yake Diamond ana mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya Diamond,kama ni kweli Baba Diamond alimkataa Diamond.
No pain no gain,ila hiyo picha ya juu inaonekana kama vile Diamond alikua anaigiza tu,labda kwenye wimbo fulani coz ukiangalia hiyo picha ya juu,afya ya Diamond haina tofauti na afya aliyonayo kwenye picha ya chini.
The best revenge for ur haters is ur success,Ndo hivo ..ukiwa na shida yatumie Yale maneno machungu ya watu mixer masimango kujenga future yako..lazima ufanikiwe.
Zifanye shida kama challenge ya kukupeleka kwenye mafanikio ...usizione kikwazo..zione fursa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe.
Mfano kuna dem mmoja hivii nilkua nampenda saaaaaaaana kuliko kawaida ila kimsingi nilipokuja kumueleza hili swala kaniona mi mjinga sana kumueleza mambo ya hivyo kisatu ni kwakua mi mkata nyasi, hali ngumu mfukoni sina hata dollar.
Daah! Nilijihisi maskini labda hatuna haki ya kupenda, ila bado naamini iposikutu/kesho yangu itakua njema kuliko alivyo nishushua nikajiona mjinga mbeleyake.
No common formula in life, everybody will be successful through different ways un- common in different times.
Long story [emoji19]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, yaan endelea kukaza nati haswaaaaaa usimuonee huruma,Nakuunga mkono mkuu; Mimi nilikuwa na-kademu nilika-mind mno, since tukiwa primary. Kalivyofika Secondary (nadhani baada yakuonjeshwa dudu), kalini-dump kakanipotezea, nilumia SANA. Kalikuja kupata kazi bank (mpaka leo hii ninapoandika hapa bado yupo hapo bank), akaolewa, kazalishwa na sasa hivi kaachana na mmewe (for some moths now), sijui reason. Namshukuru mungu nilikomaa na life kibabe, nimejenga (nyumba Zaidi ya moja), nina-viusafiri vyangu, biashara zangu & ajira yakuaminika (Int’l Org). Ananipigia simu daily akinikumbushia ya zamani, huwa namblock, anatafuta laini nyingine anatuma sms anaomba appointment kuonana nami, simjibu, ananipigia, namblock, imekuwa kero kwangu ukizingatia nina-mke na watoto.
FUNZO: Enyi dada zangu, mtu vumilie sisi wapenzi wenu wa awali, msiwakimbilie waliofanikiwa mkataka short kati, mwenzenu naamini moyo wake unamajonzi akiniangalia mambo yangu ninavyoyapeleka na ninavyomfungia vioo….. Na mwenye masikio na asikie. AMEN