Unapataje Afya ya Akili ili hali unadaiwa namna hii?

Unapataje Afya ya Akili ili hali unadaiwa namna hii?

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Unapataje AFYA ya Akili, ili Hali unadaiwa namna hii?

Kanisani.
1. Unadaiwa Fungu la kumi
2. Ujenzi wa Kanisa.
3. Kumnunulia gari Mtumishi.
4. Ujenzi nyumba ya Pastor.
5. Mchango kwa wasiojiweza.

Serikalini.
1. TRA
2: TOZO.
3: Leseni ya biashara.
4: Bill ya MAJI
5: Bill ya umeme
6:Tozo ya usafi eneo la biashara.
7: Tozo ya usafi eneo la makazi.
8: Kodi ya Pango eneo la Biashara.
9:

Kijamii.
1: Michango ya harusi, kitchen party, send-off, birthday nk.
2: michango ya misiba.
3: Madeni ya Vicoba/Benk
4: Michango ya ukoo
5: Madeni kwa MANGI.
6: Ada/ michango ya watoto shuleni.

Maisha yenyewe Sasa;
Mafuta Bei juu.
Unga Bei juu
Mchele Bei juu
Maharage Bei juu
Mbolea Bei juu
Nyama Bei juu
Sabuni Bei juu
Maji Bei juu.........nk

Hapa ukiwa na AFYA ya Akili, juwa wewe huna Akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inasikitisha Sana lazima kichwa iwake moto.....ila maisha hayajawai kuwa rahisi tangu enzi za ponsio pilato hadi sasa na hayatakuja kuwa rahisi,kama haujapita kwenye channel ya hela lazima namba uisome cha msingi andaa channel/connection ya hela.

Watu wana mipunga hadi inamwagika katika utawa huu wa Bi Tozo na Nzirankende aliyepita.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa inabidi michupeko nayo utuonee huruma janani

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nahangaika na michango ya serikalini ambayo ni ya lazima.

Kuhusu michango ya kanisani na kijamii kama michango ya harusi.. nimejivua gamba kabisa.. huwa sitoi pesa kwa ajili ya hivo vitu.

Namshukuru Mungu kwa hilo.. at least naweza save pesa.
 
Kanisani nimewapiga mkas kitambo! Sasa wamebaki kunitishia kuwa hawatakuja kunizika nikifa. Sawa tu.
 
Sio afya ya akili tu hata nguvu za kiume zinapotea.
Na hata ukiwa nazo.ukiwa unafanya akili haipo hapo kwenye tendo
 
Unapataje AFYA ya Akili, ili Hali unadaiwa namna hii?

Kanisani.
1. Unadaiwa Fungu la kumi
2. Ujenzi wa Kanisa.
3. Kumnunulia gari Mtumishi.
4. Ujenzi nyumba ya Pastor.
5. Mchango kwa wasiojiweza.

Serikalini.
1. TRA
2: TOZO.
3: Leseni ya biashara.
4: Bill ya MAJI
5: Bill ya umeme
6:Tozo ya usafi eneo la biashara.
7: Tozo ya usafi eneo la makazi.
8: Kodi ya Pango eneo la Biashara.
9:

Kijamii.
1: Michango ya harusi, kitchen party, send-off, birthday nk.
2: michango ya misiba.
3: Madeni ya Vicoba/Benk
4: Michango ya ukoo
5: Madeni kwa MANGI.
6: Ada/ michango ya watoto shuleni.

Maisha yenyewe Sasa;
Mafuta Bei juu.
Unga Bei juu
Mchele Bei juu
Maharage Bei juu
Mbolea Bei juu
Nyama Bei juu
Sabuni Bei juu
Maji Bei juu.........nk

Hapa ukiwa na AFYA ya Akili, juwa wewe huna Akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafanya unachoweza ukifosi kufanya yote lazima kichwa kipate moto.
 
Unapataje AFYA ya Akili, ili Hali unadaiwa namna hii?

Kanisani.
1. unadaiwa Fungu la kumi
2. Ujenzi wa Kanisa.
3. Kumnunulia gari Mtumishi.
4. Ujenzi nyumba ya Pastor.
5. Mchango kwa wasiojiweza.

Serikalini.
1. TRA
2: TOZO.
3: Leseni ya biashara.
4: Bill ya MAJI
5: Bill ya umeme
6:Tozo ya usafi eneo la biashara.
7: Tozo ya usafi eneo la makazi.
8: Kodi ya Pango eneo la Biashara.
9:

Kijamii.
1: Michango ya harusi, kitchen party, send-off, birthday nk.
2: michango ya misiba.
3: Madeni ya Vicoba/Benk
4: Michango ya ukoo
5: Madeni kwa MANGI.
6: Ada/ michango ya watoto shuleni.

Maisha yenyewe Sasa;
Mafuta Bei juu.
Unga Bei juu
Mchele Bei juu
Maharage Bei juu
Mbolea Bei juu
Nyama Bei juu
Sabuni Bei juu
Maji Bei juu.........nk

Hapa ukiwa na AFYA ya Akili, juwa wewe huna Akili 🤣🤣🤣
 
Hali ni mbaya.
 

Attachments

  • IMG-20221011-WA0019.jpg
    IMG-20221011-WA0019.jpg
    65.1 KB · Views: 5
Unapataje AFYA ya Akili, ili Hali unadaiwa namna hii?

Kanisani.
1. Unadaiwa Fungu la kumi
2. Ujenzi wa Kanisa.
3. Kumnunulia gari Mtumishi.
4. Ujenzi nyumba ya Pastor.
5. Mchango kwa wasiojiweza.

Serikalini.
1. TRA
2: TOZO.
3: Leseni ya biashara.
4: Bill ya MAJI
5: Bill ya umeme
6:Tozo ya usafi eneo la biashara.
7: Tozo ya usafi eneo la makazi.
8: Kodi ya Pango eneo la Biashara.
9:

Kijamii.
1: Michango ya harusi, kitchen party, send-off, birthday nk.
2: michango ya misiba.
3: Madeni ya Vicoba/Benk
4: Michango ya ukoo
5: Madeni kwa MANGI.
6: Ada/ michango ya watoto shuleni.

Maisha yenyewe Sasa;
Mafuta Bei juu.
Unga Bei juu
Mchele Bei juu
Maharage Bei juu
Mbolea Bei juu
Nyama Bei juu
Sabuni Bei juu
Maji Bei juu.........nk

Hapa ukiwa na AFYA ya Akili, juwa wewe huna Akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kweli alieimba wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika angeongea pia kuishi Dunia kama hii ni shida kwa wote.!Na single mother na Father ni msuguano!
 
Back
Top Bottom