Asante Kayaula Musa, maana kuna fundi alinipa hesabu yenye namba za ajabu, material jumla ni 2,500,000/= kupiga tiles anataka 1,000,000 sikumuelewa.Wastani kujenga sgm moja huwatunajenga elfu tano mpaka sita inategemea sait inafikikaje
Ndio uelewe kuwa ujenzi ni gharama! Ukiskia mtu anaringa na nyumba yake mjini uelewe kuwa sio mchezoAsante Kayaula Musa, maana kuna fundi alinipa hesabu yenye namba za ajabu, material jumla ni 2,500,000/= kupiga tiles anataka 1,000,000 sikumuelewa.
Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ndio uelewe kuwa ujenzi ni gharama! Ukiskia mtu anaringa na nyumba yake mjini uelewe kuwa sio mchezo
Sahihi kabisa kiongozi, material yamepanda sana nimeshindwa kuweka tiles maeneo kadhaa mfano, jikoni, chooni, master na veranda la kutokea jikoni pamoja na ngazi zake za kushuka ni kama kighorofa flani hivi.Ndio uelewe kuwa ujenzi ni gharama! Ukiskia mtu anaringa na nyumba yake mjini uelewe kuwa sio mchezo
Yani inakubidi ukaze taft hata 10M ukilianzisha unapiga full gwamba! Finishing ndio utamu wa nyumba yenyewe 😀Sahihi kabisa kiongozi, material yamepanda sana nimeshindwa kuweka tiles maeneo kadhaa mfano, jikoni, chooni, master na veranda la kutokea jikoni pamoja na ngazi zake za kushuka ni kama kighorofa flani hivi.
Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
Castr; uko sahihi, huyu fundi wangu nilianza naye na anakaa site, alipiga plaster moja tamu Sana, tiles akizingua anakosa kazi, alitaka kunipiga, sema bado aliniambia tunaweza kushuka kidogo ila daah!!Wakati nafanya hizi ishu za saidia fundi ilikua tunachaji kwa square meter. Sijui kama bado ni hivyo ila ilikua square meter inaanzia elfu 5.
Hapo sasa zitakuja factors kama kazi ni kubwa sana. Hadhi ya anayetaka kujengewa. Na kama tumewahi kufanya kazi kabla.
Sqm, ni sawa na kusema 1 Sqm ambayo ni urefu unakua na meter 1 na upana meter 1, kwa kawaida meter moja ni sawa na urefu wa sentimita 100, yaani rula tatu zile za shuleni uongeze sentimita 10, ndio mita moja.Mimi ngumbalu kabisa nisiyejua hesabu.. napimaje Sqm.. hebu mnirahisishie
Asante Kayaula Musa, maana kuna fundi alinipa hesabu yenye namba za ajabu, material jumla ni 2,500,000/= kupiga tiles anataka 1,000,000 sikumuelewa.
Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
Hii ni gharama ya Kumlipa fundi au ya kununua tiles?Tiles ni 20,000/- mpaka 40,000/_ per sqm.
Milioni 1.5 mpaka milioni 3.2. inategemea unavyotaka.
Hiyo ni standard, ukitaka urembo inaweza ikawa zaidi. Kwa hiyo hapo aliposema kila kitu ni milioni 3 yupo sawa.
kuna cement na vigaragazo vinigne.