Unapenda cocktail ama mocktail gani zaidi..?

Unapenda cocktail ama mocktail gani zaidi..?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Uzi maalumu kwa wanywa cocktail na mocktail, karibuni tujumuike kujua nini unapenda zaidi na kwanini unakipenda hicho kinywaji!.

Kwa ambao hawajaelewa Mocktail ni vinywa vinavyoandaliwa ila vinakuwa havina kilevi, cocktail ni inakilevi huo ndo utofauti kati ya cocktail na mocktail!.

Binafsi katika cocktail napendelea Moito ama mojito ambapo kwa ambayo haina kilevi huitwa virgin moito!.
ingredients ni kama zifuatavyo:
White rum,
slices of limes,
sugar,
soda water and mint leaves,
you can use clashed ice or ice cubes it's your choice!.


Na hivi ndivyo huonekana
images.jpeg


Zipo moito nyingi ambazo wengine hupenda kuweka passion ama mango ni vile tu mtu upendavyo!.
wengine badala yakuweka soda water huweka sprite!, it's fine lakini kama utaweka sprite basi usiweke sukari maana tayari sprite inasukari!, so kwa wale wasiotumia kilevi hapo hutakiwi kuweka hiyo "white rum!" hii ndo pombe yenyewe!.
Moja yakitu kinachonivutia zaidi kwenye hii cocktail ni harufu ya mint binafsi harufu yake hunivutia zaidi..😅
Na hii ni moja ya cocktail inayopendwa sana na waitaliano pamoja na wabrazil!.

Kuhusu Mocktail sidhani kama kuna mocktail nayoipenda bado sijawa na chaguo!, msije mkasema mi mlevi it's for vibe only!.
chengine niwakumbushe kwa wale wanywa pombe kali si vyema sana kila siku kunywa pombe kavu muda mwengine pata vitu kama hivi vilivyochanganywa unakunywa bila hata kukunja sura, japo cocktail sio zakufakamia maana unaweza ukaona kama haulewi kumbe vitu vinajiweka tu vikija kulipuka unaanza kulia tukupeleke nyumbani..😅

So, tunyweni kwa uangalifu.
Karibuni..
 
images (1).jpeg


Nani anaweza niambia hii ni cocktail gani...??
 
Back
Top Bottom