Mtengenezaji aliniuliza mbona haulewwewe hufai!, wewe ni lilevi..🤣
cocktail inaingia pombe tano Gin,vodka,rum, triple sec na tequila! we kiboko kwenye sherehe hufai kualikwa utamaliza bohari..😅
If you taste anything with alcohol, you are a MleviUlevi upo wa aina nyingi, hujui kiswahili mkuu..?
Hahahaah ata mi nmeshangaa mkuu si anywe maji tuKama hakina kilevi Cha Nini Sasa?
Wee Komwee umevurugwaa ?? Au ndo ushakunywa cocktail?Aje tu atajulikana hukuhuku...[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wee Komwe ntakubatua, nani mshamba?acha ushamba..!
Don't legitimize ulevi kwa kupakapaka pombe rangi ya majina mazuriBut this is ulevi only for cocktails and non ulevi for Mocktails..😂
Wakati ukiitengeneza kwako haizidi hata afu 5 ( hio kama unatengeneza cocktail)Niliendaga SLIPWAY hapo @ 15000*2 [emoji484] [emoji483]
🤣🤣🤣🤣 kwakweli.Ngoja waje wakishua
Upinzani lazma 😅😅😅ila ipo yenye mkia mrefu na mfupi..😁