Unapenda cocktail ama mocktail gani zaidi..?

ambao ni fresh from shamba hatujawahi kutumia hizo mambo tuna comment wapi 🤷‍♀️
 
Uzi umekuja wakati mzuri sana.
Juzi tu nilikuwa nagugo jinsi ya kutengeneza cock tail na mock tail…Wacha nisubiri wataalamu.


Kuna siku nikajaribu hii, sijui hata walichanganya vitu gani.

Kiglass kidogo tu akili inahama😁

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…