Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Miongoni mwa mambo yanayonifurahisha sana hapa Jf ni vidubwasa hivi😵🙄🙄😱😀😛😎😕😡🙁😉🙂..... kipindi cha nyuma vilikuwa vingi sana sasa sijui wamevipeleka wapi vingine..... kati ya hivi wewe unapenda zaidi kidubwasha gani? Au waturudishie vile vya mwanzo vyenye makeke ya kila aina😵