Unapenda kiliwazo gani unapopanda kitandani?

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Asilimia kubwa wanapenda kusikilizwa music/Blues.

Mimi bila U-Flesh juice na karanga za miamia 2 silali, iyo ishakuwa kama starehe ninavyoperuzi JF nakula karanga moja nanyonya U-Flesh mpaka chaji inaisha bado vijaisha.

Wewe kitu gani unakula ukipanda kitandani?
 
U-fresh zile vipo kwenye vimfuko kama barafu?
hizo ni za mia, nazungumzia za 200 Tzs ni kikopo unaweka kifuani mrija unanyonya hapo unapiga mawe waandika ujinga JF mpaka kinaisha.
 
hizo ni za mia, nazungumzia za 200 Tzs ni kikopo unaweka kifuani mrija unanyonya hapo unapiga mawe waandika ujinga JF mpaka kinaisha.
Kwahiyo unapiga cha miambili kimoja na karanga za mia mia 2 yaani jumla mia 4.

Mimi huwa sina kiliwazo. Nikipanda kitandani ni simu kuchat kisha naiweka pembeni nalala.
 
Kwahiyo unapiga cha miambili kimoja na karanga za mia mia 2 yaani jumla mia 4.

Mimi huwa sina kiliwazo. Nikipanda kitandani ni simu kuchat kisha naiweka pembeni nalala.
Ebu njoo pm Mara moja tuongee vzr mpz unajuaga navo kupenda
 
Nyimbo za kuabudu na tenzi za Rohoni zile za taratiiiiibu.

Nyingi zinaniliza machozi, ila baada ya hapo nalala kama nipo Ikulu.
 
Mimi huwa nikiona mt4 imesoma profit basii usingízii ni wa porn japo nitaamkaa usiku saa 9 kwa ajili ya news 2 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…