Unapenda kuingia kwenye Ndoa Bora?


kumbe pacha mkituoa tunawapandisha chati enh?lolest kwa wadada wooooote!
 
wala sio uongo mtani wangu!mtu unakuwaje mvulana wa miaka 40,au msichana wa miaka 35 means kama unajitambulisha hivyo hta matendo na fikra zako zitakuwa za kisichana na kivulana,so hakuna mtu matured enough atataka kumake commitment ya kueleweka sanasana atakuchukulia hivohvo kisichana kisichsna au kivulanakivulana!
 

brilliant advice,brother!relax ur mind coz whatever happens to you whether good or bad is working out to bring you good alway,better thank GOD for the best that is yet to come
 
Pole sana, hilo ni fundisho kwa vijana kwamba afadhali kuoa kabisa kama mtu anaenda kujiendeleza kimasomo nje ya nchi, ungekuwa na legal rights za kumrudisha.
Pia inaonyesha ulimpenda sana hata baada ya kuona dalili zote bado ulimtegemea pole.
Na pia kwa sisi vijana kama mtu humpendi au una mpango nae afadhali kusema mapema maybe since 2009 angekuwa amepata mtu mwingine.

pole kaka yangu Mungu atakupa wa kwako.
 
Wako yupo ila hujamfahamu tu!!
Piga goti umuombe MUNGU akupe mke wako.
 
Mimi nampa pole sana mparee...I can feel his pain;
Kwa upande wa kujiita mvulana nahisi hilo sio tatizo hiyo ni lugha tu...(nafikiri ni direct translation ya Boy)Ila nimefurahi kuwa watu wengi wamemshauri vizuri...
Naona hajasema yupo wapi ila naamini kuna wasichana decent na walioko single na wanao match na huo umri...kwa nini wasim pm...you never know...nafasi ipo wazi......
 

ambiere.shigha hijo ndima avae.unefwa bure... vache nte mkede kamili lakin gugha du..
 
ambiere.shigha hijo ndima avae.unefwa bure... vache nte mkede kamili lakin gugha du..
eliesikia, ambura kufwa tunerafwa vose avae. Mira mi nsagura kufwa nekiraseka. Thiku iji vache tehena, nidunganya ku ghesha muathu iki, kaicha naicho tekikave mh basi kangi.
Kaicha vogha ni hili lihumpa ah nimshigia Mrungu.
 

Pole sana brother,
Pamoja na yote yaliyotokea bado naona kuna matumaini kilichopo no kutokakata tamaa kwani ukikata tamaa huwezi fika uendako. Umri sio tatizo naamini utampata aliyetulia ili uanze nae maisha.
Nakutakia kila la heri brother karibu tuendelee na mchakato wa kutafuta wenzi wa maisha, tuko wengi hauko peke yako utapata tu
thanks
 
pole sana kaka yangu Mparee2.Hayo ndo maisha na jinsi ulimwengu unavyoenda,but usijali kwa mwanaume miaka 40 it's not a deal.mbona bado we mdogo sana tu?ishu huwa ipo kwa akina dada akiisha fikisha miaka hiyo na bado hajaolewa.But for you do the following;
1.Don't panic,
2.Usikimbilie kutafuta mpenzi wa haraka ili kumkomoa wako wa zamani,
3.Don't think of revenge,if possible assume umemsamehe huyo dada,
4.Think ulipata faida gani ulipokuwa naye?kama zipo keep them at your back uanze page mpya na kama hazipo ni time ya wewe kufikiria zaidi namna ya kupata mtu mwenye benefit kwako.
5.Give time for youself ili uweze kumtoa kabisa huyo dada akilini ndo uanze kutafut wa fyucha yako,usije ukampata haraka lakina ukaumiza hisia zake kwa kuwa feelings bado zipo kwa yule wa zamani.utakuwa umeharibu.
Huo ni ushauri wangu kaka.nina imani ukijaribu kuuaply,miracles might happen to you and ukampata mtu amnaye utaona ulikuwa umechelewa.I wish you a happy finding.
 
Mi bado mtoto (itifaki izingatiwe in 20's) ila kila nikicheki threads inaonekana mademu wa chuo ni disaster. Sasa sijui itakuwaje huko niendako maana post nyingi utata mtupu.

Usihangaike na mambo ya dunia,nenda upadri!
 
what goes on must must come around lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…