The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
Je wewe kama mtumiaji wa Jamii Forums unapenda kutumia kiolesura cha mtumiaji kipi kati ya vifuatavyo
1
2
Au 3
Binafsi napenda kutumia namba 3 kwa sababu rangi yake haiumizi sana macho haijang'aa sana wala haijafifia sana.
Tuambie mdau wewe unapenda kiolesura cha mtumiaji kipi?