The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 701
- 1,522
3Je wewe kama mtumiaji wa Jamii Forums unapenda kutumia kiolesura cha mtumiaji kipi kati ya vifuatavyo
1View attachment 3095762
2View attachment 3095763
Au 3
View attachment 3095764
Binafsi napenda kutumia namba 3 kwa sababu rangi yake haiumizi sana macho haijang'aa sana wala haijafifia sana.
Tuambie mdau wewe unapenda kiolesura cha mtumiaji kipi?
Familia moja , Hii ipo vizuri sana
Unatumia namba ngapi?mh mbona kama ndo inaumiza macho sasa
π€£π€£ So which is which?Nan ofu ze abavu..π€¨
Ipo cool pia πNo 2 kwangu ni unyama
Ipo kipekee sana nikadhani ni wachache tunaoikubali kumbe tupo wengi
Ipo cool piaNamba 2
Nasingi....ππ€£π€£ So which is which?
Job true true π€£π€£Nasingi....π