Unapenda kuweka Nini kwenye simu yako Ringtones/Vibration

Unapenda kuweka Nini kwenye simu yako Ringtones/Vibration

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Mo mp5 once again, Hope wazima familia ya JF.

Binafsi simu yangu napenda kuweka vibration,sababu sipendi kelele na ni mvivu Sana kupokeaga simu.

Kuna Ringtone zingine ziko vizuri Kama za iPhone,nokia,samsung.ila Kama unatumia Tecno,infinix,itel, vivo nk ringtone zao zinakuwa ni mbaya Yani Kama vyombo vinaanguka mnakera Sana.

Unakuta mtu kaweka ringtone mbaya sauti juu simu ikiita ni makelele tu mpaka nyumba ya tatu wanasikia.

Kuweka ringtones sauti ya juu ni ushamba.
 
Sikumbuki mara ya mwisho ni lini niliweka Rington kwenye simu kubwa ni mwendo wa Vibration tu.
Ila simu ndogo ndio kuna Rington & Vibration ila volume haizid 2.
 
Vibration
Cm zote, kubwa na kiswaswadu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom