Unapenda msosi gizani au full mwanga?

charger

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
2,320
Reaction score
1,371
Habari wakuu wa jamvi,
Jamani hivi watu wametofautiana sana,unajua kwanini nasema hivyo?utakuta kuna mtu yeye anapenda kulia gizani,yaani giza totoro ndio furaha yake,mwingine yeye anataka angalau candle light,mwingine anataka ale mchana kweupe!au kama ni usiku basi zitawashwa taa zote aone pilipili ilipo,ndizi,sijui ndimu,salad,avocado,maharage,mchicha si unajua wengine wanapenda mamichicha marefuuuu,wengine michicha wala hawataki ,kama watermelon basi ayabebe ayapapase huku na kule kabla ya kuendelea na maakuli.
Lakini mimi nacho jua mkono huwa haukosei mdomo ulipo au mdomo si kazi kutafuta mkono wenye chakula ulipo.
Je wewe wapenda kulia wapi?na kwanini?
 
Gizani kuna raha yake..

Mkuu katavi gizani si unaweza usione meza imekaaje ukajikuta umekula umemaliza kumbe kuna matunda na wewe hukuyaona
 
giza co issue sana ila nahis usiku kuna kitu flani kinaongezeka...atakama taa zimewashwa lakini ile kitendo ya kua usiku uko njee na katemperature basi bamia inateleza safi kabisa
 
Mwanga kwa mbaali ndio mwake!mwanga sana mtaoneana aibu
 
giza co issue sana ila nahis usiku kuna kitu flani kinaongezeka...atakama taa zimewashwa lakini ile kitendo ya kua usiku uko njee na katemperature basi bamia inateleza safi kabisa

Mimyv kabamia uterezi ni shauri ya usiku au mchana kweli? au the more u chew the more uterezi?
 
mara nyingi ile kitu ule gizani ndo tamu bhana,, vingine vina sura mbovu kinoma so kula kwenye mwanga kuna hitaji moyo baaaaaaaaaab!!!!!!!!!!!!!
 
Weka mambo waz bhana hapa ni 18plus mwanzo mwisho.....!
 
mara nyingi ile kitu ule gizani ndo tamu bhana,, vingine vina sura mbovu kinoma so kula kwenye mwanga kuna hitaji moyo baaaaaaaaaab!!!!!!!!!!!!!
<br />
<br />
kwani wewe unakula sura yake?bumba macho
 
Kuwe na kamwanga bana. Gizani hapana. Unaweza kula mende ati!
 
Mwanga fulani hivi ili nione reaction na feedback from her face. her facial expression speaks a thousand words. besides zile shanga utaziona vipi gizani? au ukimtuma glass ya maji ili umuangalie anapoenda kuileta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…