Unapenda msosi gizani au full mwanga?

Dim light iko poa zaidi sio mwanga mkali kama uko kwa fundi saa aliyechelewa kufunga ofisi.
 
Msosi wa kuibwa unaliwa katika mazingira ya gizan ila kama ni jasho lako lia kwenye dim light!
 
Kula ni kula tu, iwe gizani ama kwenye mwanga, mradi usikombe mboga tu! Msisahau kusoma kitabu kabla ya kula, ama nyie wengine msisahau kushika mic kuhutubia kabla hamjaanza kula!
 
Natwanga kotekote, gizani mpaka mwangani, Kwa ishu ya mgao wa umeme unaweza anzia mwangani ukajikuta unamalizia gizani.
 
Natwanga kotekote, gizani mpaka mwangani, Kwa ishu ya mgao wa umeme unaweza anzia mwangani ukajikuta unamalizia gizani.

haaah haaah basi ukalie kwa Ngeleja.
 
Inategemea na rangi ya msosi,kama ni mweupe hapo nahitaji mwanga ili nimfaidi vizuri
 
kwa kusoma post za thread hii nime conclude watu wengi wanachukulia kama usiku ndio wakati mwafaka wa ku do
wengine asubuhi na mchana, ndio wanapenda ati
 
<br />
<br />
kiukweli gizani ndo pako poa kwanini nasema ivo,unapokuwa gizani unafanya mambo kwa confidence ile mbaya tofauti na kwenye mwanga.
 
Uwa napenda Kwenye mwanga kuona ule Wakat wa kuongeza chumvi mwilini meza inavyozunguka involuntary. Ila napenda zaid gizn/mwanga hafifu au mwanga wa jua(mchana) mwanga mkali wa usiku sipendi kbsa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…