Unapenda taarab?

hehehehe mkuu ukiwa mwanachama wa Taarabu kunako lazima uwe nako mwanachama hehehe usiseme sana invisible akisikia nitakuwa likizo ooooh mtanikosa.
hahahaha
ngoja nikimbie haraka robot asinikute humu. najiulizaga wale mabaunsa wanaorusha vidole hewani ina maana nao ndo vile au inakuwaje maana utakuta mtoto wa kiume anasawajika kuliko jimama.... ah we acha tu
sie wengine huwaga tunachovya kidole kwenye asali bila kuogopa nyuki wang'atao
 

hehehehe mkuu wengine huwezi amini haya mambo we acha tu.........
 
kuna binti mmoja wa kiume huwa nilikuwa namwona sana pale njenje ambasada plaza. ila mmeuona wimbo wa omari mkali wa pikipiki piki?
 
Huyo Robot yuko wapi?

Huo wimbo wa kwanza wameiga bits za zamani za wimbo wa Kiko Kids ya Tabora. Yaani nilivyosikiliza sikuamini kuwa unaweza kufanana namna hiyo. Huu niliuweka pamoja na ile miziki ya Kanda Bongo Man hapa JF. Wimbo huo wanaimba "Mauwa, ehh mauwa, mapenzi mauwa......." Ila jamaa wamejitahidi katika hizi Soukous Taarab.

INVISIBLE fanya fanya basi mambo huko jikoni, wengine tukikaa sana juani "Pembe zinayeyuka...." Na hapo ndipo tutajulikana si wapenzi ......
 
kuna binti mmoja wa kiume huwa nilikuwa namwona sana pale njenje ambasada plaza. ila mmeuona wimbo wa omari mkali wa pikipiki piki?

hahahahaha mkuu duh huyu ana nyuki mbili au?
 

hehehe kuna demu mmoja kitaa anasura ya kiume kabisaaaaaa na anapiga nguo za kiume lakini ni mwanamke ukimwona kwenye rusha roho utajua dume mkuu lakini ni mwanamke hehehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…