Unapendelea chakula gani unapofuturu

Unapendelea chakula gani unapofuturu

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
18,677
Reaction score
45,532
Asalaam Alaykhum. Za jioni wapenzi wa mahanjam, masotojo, madiko-diko,. wale wapendao kula vilivyo bora na sio bora kula tuu nawasalim tenaa "asalaam Alaykhum, waalaykhum salaam"😊

Haya, mida ndio hii ya kuelekea kupata iftar yetu kwa wale mlojaaliwa kufunga basi inshaallah Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Sasa em tujuzane wakati huu wa ramadhan wewe unapendelea kufturu nini hasa. Mimi leo nimepata fursa ya kumuandalia mteja iftar mahsusi ya vitu hivi simple;

~ Uji wa mchele wenye pilipili manga
~ Chapatti za maji/Mayai
~ Kebab, samosa ya nyama na vitumbua
~ Chai ya viungo(green tea)
~ Magimbi na mihogo ya nazi
~ Maharage ya viungo+Nazi
~ Korosho za viungo(special oda)
~ Sauce ya nyama yenye pilipili
~ Tambi plain na juice ya matunda fresh......MashAllah😋

Em niambie tafadhali,wewe unapendelea iftar ipi hasa wakati huu wa ramadan,.Ikinipendeza basi chungu/funga ya mwisho inshaallah nipike tujumuike wote.

Wabillah Tawfiq.

~MC~
 
Asalaam Alaykhum,.za jioni wapenzi wa mahanjam,masotojo,madiko-diko,.wale wapendao kula vilivyo bora na sio bora kula tuu nawasalim tenaa "asalaam Alaykhum,waalaykhum salaam"😊
Haya,.mida ndio hii ya kuelekea kupata iftar yetu kwa wale mlojaaliwa kufunga basi inshaallah Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi,..sasa em tujuzane wakati huu wa ramadan wewe unapendelea kufturu nini hasa,.Mimi leo nimepata fursa ya kumuandalia mteja iftar mahsusi ya vitu hivi simple;

~uji wa mchele wenye pilipili manga
~chapatti za maji/Mayai
~kebab,samosa ya nyama na vitumbua
~chai ya viungo(green tea)
~magimbi na mihogo ya nazi
~maharage ya viungo+Nazi
~korosho za viungo(special oda)
~sauce ya nyama yenye pilipili
~tambi plain na juice ya matunda fresh......MashAllah😋

Em niambie tafadhali,wewe unapendelea iftar ipi hasa wakati huu wa ramadan,.Ikinipendeza basi chungu/funga ya mwisho inshaallah nipike tujumuike wote.

Wabillah Tawfiq.

~MC~
wapi uko; mbona coordinates za location hujatuwekea; nije kunywa uji wa mchele wa pilipili manga na magimbi\mihogo ya Nazi.
 
Back
Top Bottom