"""The Spirit of Our Nation""💪💪💪 nguvu moyaa!!!
Jaribu stafeli na embe.Stafeli na Bungo, hii ni habari nyingine kabisa!!
Passion, parachichi, carrot for color na tangawizi na maziwa ya kopo Kama yapo.
Nawasalimu wote,
Mimi napenda sana kunywa jusi ya nanasi na parachichi natupia na pasheni inanukia na inakuwa tamu sana.
Juisi hii huwa siweki sukari hata kidogo kutokana na utamu wa nanasi nasaga matunda hadi yanalainika sana, nachuja naweka kwa kipozeo tayari kwa kunywa taratibu.
Wewe unapendelea juisi gani?
ndukuMaku
Kaka yake shetani duh😀