Unapewa billion 23 kumuoa binti wa Tyson

Unapewa billion 23 kumuoa binti wa Tyson

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Bondia Mike Tyson ambaye anasumbuliwa na magonjwa ya uzeeni ameahidi kiasi cha shilingi Bilioni 23 za Kitanzania kwa mwanaume yeyote atakayejitokeza kwa ajili ya kumuoa binti yake mwenye uzito wa kilo zaidi ya 120.

Tyson amefanya hivyo ili aweze kushuhudia binti yake akiolewa kabla ya kifo chake kutokana na magonjwa yake ya mara kwa mara yaliyosababisha hata baadhi ya viungo vya mwili wake kupooza.

Vijana changankienii fursaa.

mike 2.jpg
 
Mike Tyson denies offering $10m to any man who'd marry his daughter Thursday, February 27, 2020 at 7:54 PM by Nomso Obiajuru.

Mike Tyson has denied ever asking any man to marry his daughter in exchange for $10 million - The ex-boxer responded to Michael Blackson who asked for the daughter's hand in marriage - Tyson told him that his daughter was in a new relationship with a good looking man Legendary boxer Mike Tyson has not taken lightly a story of him offering her daughter's hand in marriage.

News came out through various websites claiming that the former heavyweight boxer was offering $10 million to any man who would marry his daughter. When Ghanaian born comedian/actor Michael Blackson, born Jefari Furguson, hilariously inquired from Tyson, through his Instagram, if he could ask for the daughter's hand in marriage, he was not ready for what would come next.

Michael sent a direct message to Tyson saying he was finally ready to settle down, even going further to call him 'father-in-law.' "Is it true, I think I am finally ready to settle down." Michael said. "I don't really (care) about the money, but I will take it. Waiting to hear from you father-in-law sir." He definitely was not ready for Tyson's response who came armed with information. "Listen, this (stuff) ain't real and when I find out who started that meme I am going to knock them out.

My daughter is happily in a new relationship with a nice looking man, so she is not interested in you," Tyson said. There was definitely a lot more said in their conversation that would make one pack his bags and move to the next city as soon as possible
 
Iliwahi kuelezwa kwamba Tyson amefilisika kumbe bado ana mpunga wa bi kutosha.
 
Bondia Mike Tyson ambaye anasumbuliwa na magonjwa ya uzeeni ameahidi kiasi cha shilingi Bilioni 23 za Kitanzania kwa mwanaume yeyote atakayejitokeza kwa ajili ya kumuoa binti yake mwenye uzito wa kilo zaidi ya 120.

Tyson amefanya hivyo ili aweze kushuhudia binti yake akiolewa kabla ya kifo chake kutokana na magonjwa yake ya mara kwa mara yaliyosababisha hata baadhi ya viungo vya mwili wake kupooza.

Vijana changankienii fursaa..View attachment 2369713

Baba mwema sana huyo!
Watu wa kuzamia marekani wapate Green Card kazi kwenu walahi!
Pelekeni posa fasta [emoji38]
 
dah mambo ya mtt wa kike kufanana na baba yake yanafaida nyingi🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom