Unapewa vikosi hivi viwili na Kim wa north Korea kwamba lazima urudi na kombe utachagua kikosi gani hapo

venchwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
1,677
Reaction score
1,596
Mfano umepewa vikosi hivyo viwili uchague kimoja kwamba usiporudi na kombe utanyongwa

Tunaasume wote wako kwenye form zao kabisa za Hali ya juu, Kwa wakati mmoja

 
Jaman almost Wachezaj weng wa Squdra A,,wengi wetu hatukuweza kuona Fire lao enzi wakiwika,Binfsi I was too young,,So, lazima nichague kile nincho thibitisha kwa Macho yangu,ila siyo Nadharia ya kusmuliwaaaaaaa
 
Kumbe leo ndiyo nimeamini kuwa humu jf kuna watoo, ndiyo maana utakuta mtu analeta mada take vizuri tu badala ya watu kuchangia kiustaarabu wao wanatukana na kukejeri, sasa kama hujamuona Henry,Ronaldinho ni mtoto wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…