Unapigana Masumbwi ushinde TV inch 32

Unapigana Masumbwi ushinde TV inch 32

American Dream

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2022
Posts
313
Reaction score
352
"""Bondia wa ngumi za kulipwa nchini amefanikiwa kutunukiwa zawadi ya TV Inch 32 kufuatia kuibuka bondia aliyecheza vizuri zaidi katika pambano lake alilomchapa Elvis Mensah raia wa Ghana katika pambano lilopigwa jana usiku kwenye Arena ya Bukom Boxing iliopo Accra, Ghana"""

MAONI YANGU:
WADAU WA MICHEZO BORESHENI ZAWADI MNAZOTOA, VIPAJI VINGI VINAPOTEA KWA MAMBO KAMA HAYA, MCHEZO WA BOXING NI HATARI SANA, WANASTAHILI KUZAWADIWA ZAIDI YA HIVI.

Screenshot_20220502-210756_1.jpg
 
Watu wanacheza ligi za mbuzi , ng'ombe na kuku weww unashangaa TV?

Karibu Africa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Niliwah shangaa nikiwa morogoro,ligi ya mbuzi na wakati huo timu zimesajili wachezaji wa ndondo kwa kila mechi analipwa 10,000 na kama atalala usiku anatafutiwa demu,siku ya fainali kimbuzi kilicholetwa nilibak mdomo wazi
 
Umewahi kujiuliza Simba na yanga wanasajili wachezaji wa bei ghali huku kombe likiwa halizid million 100
 
Mkuu labda Yanga..Simba hapana..ameishia robo fainali Shirikisho amepata milioni 900..labda Yanga wakibahatisha ndiyo watapata hicho ulichokisema.
 
Niliwah shangaa nikiwa morogoro,ligi ya mbuzi na wakati huo timu zimesajili wachezaji wa ndondo kwa kila mechi analipwa 10,000 na kama atalala usiku anatafutiwa demu,siku ya fainali kimbuzi kilicholetwa nilibak mdomo wazi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu labda Yanga..Simba hapana..ameishia robo fainali Shirikisho amepata milioni 900..labda Yanga wakibahatisha ndiyo watapata hicho ulichokisema.
Simba imeanzishwa mwaka 1936 unataka kusema Simba, imeshiriki robo fainali kwa miaka 86 mpaka sasa? Robo fainali hajafikisha hata mara kumi kwahiyo ni yale yale ya kupata kombe la thamani ya chini wakati timu imeandaliwa kwa gharama kubwa
 
Back
Top Bottom