Unapigwa mwingi hapa Azam Complex

Unapigwa mwingi hapa Azam Complex

Nado anapiga cros..

naona kuna mchezaji wa namungo damu zinamtoka puani
 
Namungo wapo moto sana sema kuna battle ya kikoti na captain bagana bila kusahau nado na shamte ni nouma
 
Shamte anazidiwa na nado uk chini wakati pale kati kikoti amepashka vyema
 
Ngoja leo tuone nani zaidi kati ya hawa viungo sospeter bajana na lucas kikoti
 
Lucas kikoti ni fundi sana ingawa namungo wamefungwa lakin gem ya jana ni nzur sana kama tim zote zingekuw na mpira wa namna ambay wamecheza azam na namungo jana lig la bongo lingekuw na mvuto sana
 
Back
Top Bottom