major mkandala
Member
- Mar 6, 2010
- 74
- 2
He lazima uulize na ujue ati,kieleweke kama kakopa,kaiba,kahongwa,kaokota,upatu...au?
kuuliza lazima muulize mkeo, kwanini matumizi yamezidi pesa ulioacha.Usipouliza utakuwa mwaume kama binti. ILA sielewi muda upi muafaka wa kuuliza, je ni baada ya kushiba huyo kuku au kabla hujala?
Enyi wazazi
angalien na familia zenu ona sasa
kun familia hapa jirani imeleta kizaaza
baba amekuwa akiacha hela ugali mchicha yeye
hali anarudi usiku..kila siku mama yakamshinda
kapata wapi hela hataki kusema...kaamua kupika kukumzima wa kienyeji na wali wako 3 tu...mzee kafikria kuhoji alipollala saa saba akafumba macho aanze kuuliz amama kasema ajibu mpaka asb..asbh ya leo tunasiki matusi mara kelele baba kamchapa mama bakora mama kaanza kufurumusha glass zote ndani amrushie mzee katoka damu inamwagika kama yuko siku zake...je ni haki kuuliza??
mada zako leo za misosi misosi tu hadi nasikia njaa,anyway turudi kwenye mada,huyo mdingi nae hana dili,ikifikia unaacha hela ya mchicha homu kila siku inamaana ushafungulia milango ya mama aende akamegwe nje,kwahiyo ukijarudi ukakuta nyama,pilau,bata,hutakiwi kuuliza maana ndio dhamira yenyewe jipigie msosi wako jinyooshe.Enyi wazazi
angalien na familia zenu ona sasa
kun familia hapa jirani imeleta kizaaza
baba amekuwa akiacha hela ugali mchicha yeye
hali anarudi usiku..kila siku mama yakamshinda
kapata wapi hela hataki kusema...kaamua kupika kukumzima wa kienyeji na wali wako 3 tu...mzee kafikria kuhoji alipollala saa saba akafumba macho aanze kuuliz amama kasema ajibu mpaka asb..asbh ya leo tunasiki matusi mara kelele baba kamchapa mama bakora mama kaanza kufurumusha glass zote ndani amrushie mzee katoka damu inamwagika kama yuko siku zake...je ni haki kuuliza??
eeeeh,eeeeh ikizuka vagi/ugomvi utauweza wakati una njaa? si una jua akina mama wengine ni wababe? kwa nini usishibe kwanza?na ukiuliza baada ya kula ukaambiwa nimehongwa...na wewe unakuwa umecompromise kuhongeka kwa mkeo? bora kuuliza kabla ya kula....but kama una njaa? aghhhhhh