msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
Kuna kitu kinanitatiza kidogo kwa wale wazoefu, nadhani wengi wetu tunapokuwa katikati ya faragha kuna haka kamsemo kanatokaga upande wa pili Baby chukua vyote ni vyako.
Sasa ni kitafsiri neno "vyote" lina wingi ndani yake, na tafsiri hasa ni kipi na kipi naambiwa ni vyangu? Maana unaweza ukakosea tafsiri ukaleta tafrani, kwanini kina dada msitaje kabisa hichi chako, hichi changu peke yangu n.k