msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
Hahahahah mkuu umejibu kwa hisia kali mno, kosa langu lipi hapo?Ukiambiwa pua ni yako unaifanyia nini hiyo pua? Kama Una nia yako ya uovu why uitafutie sababu kuhalalisha?
Hmm!Kila kilichopo hangaika nacho
Alafu wakati mwingine hata ukimuuliza anakuwa hakumbuki[emoji23][emoji23][emoji23] Huo muda kauli nyingi sana zinakuwa za uwongo sio za kuzingatiwa hata baada ya tendo yale maneno mnayo ambiana pale kitandani ni uwongo mtupu.
πππ Anaweza vipi kukumbuka kama alisema vyote vyako.Alafu wakati mwingine hata ukimuuliza anakuwa hakumbuki
Sent from my vivo X21 using Tapatalk
Wenge la utamu wanakuwa nalo[emoji23][emoji23][emoji23] Anaweza vipi kukumbuka kama alisema vyote vyako.