Unapoamua kujihusisha na mapenzi ya JF na wana JF.

Ni umama kwa mwanaume kuwa na ID mbili kwenye social network ambayo jina lako ni feki,avatar ni feki ukweli utabaki tu ni vigumu mtu kukujua mpaka muonane.
 
Ni umama kwa mwanaume kuwa na ID mbili kwenye social network ambayo jina lako ni feki,avatar ni feki ukweli utabaki tu ni vigumu mtu kukujua mpaka muonane.
Ooouh...kumbe.

Sasa kuna uhusiano gani ya umama , Id mbili na uanaume mkuu?
 
Ooouh...kumbe.

Sasa kuna uhusiano gani ya umama , Id mbili na uanaume mkuu?
Ni kama mwanaume kujibandika papuchi na kujipaka lipstiki my thoughts are fucked but that is how I feel.
 
Naomba mnipe kwa kifupi comments zinasemaje! Zimekuwa nyingi sana
 
Mwili umesisimuka mrembo.
 
Hivi kuna watu kweli wako serious wanatafuta wapenzi JF? na wanakua wapenzi like seriously ? Wonders shall never end hapa tanzania
 
Hivi kuna watu kweli wako serious wanatafuta wapenzi JF? na wanakua wapenzi like seriously ? Wonders shall never end hapa tanzania
Watu wanapata wapenzi popote, wapo hata wanaoanza kupendana msibani sembuse JF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
This is non of the wonder Moyess
Wonder ni pale unamtongoza mwanume/ mwanamke mwenzio bila kujua. With these funny names [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…