princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Tumtoe?Kijana anaenda kinyume na katiba ya chama. Unakumbuka gharama tulizotumia kumnunua?
Neno lako ni amri. Halihusiani na katiba
Ngoja tuone siku ya leo anaishia na naniNeno lako ni amri. Halihusiani na katiba
Kijana anaenda kinyume na katiba ya chama. Unakumbuka gharama tulizotumia kumnunua?
Hivi kuna watu kweli wako serious wanatafuta wapenzi JF? na wanakua wapenzi like seriously ? Wonders shall never end hapa tanzania
Nimemkabidhi Kaizer akuletee. Si bado uko Dom?