Invisible JK
Member
- Nov 8, 2019
- 26
- 75
Natumaini kila mmoja ni mzima wa afya. Kuna vitu binadamu yatupasa tuoneshani japo kidogo na kumsikiliza mtu nakuelewa.
HIli tunakutana nalo sana baina ya sisi watanzania unakuta mtu unafika na brochures unampatia mtu asome huku unamuelezea.
Limenikuta niliingia ofisi moja ipo vingunguti inahusika na uuzaji wa BMW nikatoa brochures yangu.
Kama kawida yangu nikaingia ofisini nikakutana na secretary tukasalimiana maana ile ofisi imekaa tofauti nikaanza kumuelezea binti anaendelea kucheza game nampa na brochures binti anaendelea kucheza game ikafika mda sasa nikapata hasira bado napo asikilizi.
Jaribu kuoneshsa heshima kidogo hata kama akifai hicho kitu.