Unapoenda ukweni unatakiwa uzingatie nini?

Unapoenda ukweni unatakiwa uzingatie nini?

1. Unaenda na Wife? Fikia hotel ya karibu, mchana unatimba ukweni kusalimia, mkifikia ukweni utashindwa kumgegeda wife kwa uhuru
2.Kibunda usikose.
 
Hakikisha ni mgeni njoo mwenyeji apone.

Sio uende na kende zako tu halafu utarajie kuchinjiwa jogoo.

Ila pia ukweni sio pakuwekea mazoea sana. Ni kuingia na kutoka tu.
 
Back
Top Bottom